6 Miezi ya Nyakati za Biblia
Miezi ya Wayahudi ilikuwa inaanza na mwezi mpya mmoja mpaka mwezi mpya mwingine. (Isa 66:23) Neno moja la Kiebrania, choʹdhesh, “mwezi” (Mwa 7:11), linatokana na neno linalomaanisha “mpya,” na neno lingine linalotafsiriwa mwezi, yeʹrach, linamaanisha “mwezi mpevu.”
MIEZI HALI YA HEWA MAZAO
Mitakatifu Ya
Kawaida
1 7 Mvua, theluji zinazoyeyuka, Mavuno ya kitani.
zafurisha Mto Yordani Mwanzo wa mavuno
ya shayiri
2 8 Majira ya kiangazi yaanza. Mavuno ya shayiri.
Kwa kawaida anga Mavuno ya ngano
halina mawingu maeneo ya chini
3 9 Joto la kiangazi. Mavuno ya ngano.
Hewa safi Tini za mapema.
Matofaa fulani
4 10 Joto lazidi. Umande Zabibu za kwanza.
mwingi katika maeneo Mimea na chemchemi
zakauka
5 11 Joto lafikia kilele Mwanzo wa mavuno
ya zabibu
6 12 Joto laendelea Mavuno ya tende na
tini za kiangazi
7 1 Mwisho wa kiangazi. Mwanzo Mwisho wa mavuno.
wa mvua za mapema Mwanzo wa kulima
8 2 Manyunyu ya mvua. Kupandwa ngano na
shayiri. Mavuno ya
zeituni
9 3 Mvua zaongezeka. Baridi Majani yachipuka
kali. Theluji za milimani
10 4 Baridi ya kiwango cha juu. Tambarare za chini
Mvua mvua. Theluji za zina majani mabichi.
milimani Nafaka, maua yaota
11 5 Baridi yapungua. Milozi yachanua.
Mvua zaendelea Mitini yachipua maua
12 6 Mingurumo na mvua za Mikaruba yachanua.
mawe mara kwa mara Mavuno ya matunda
ya jamii ya michungwa
13 Mwezi mmoja uliongezwa mara saba katika muda wa
miaka 19 kwa kawaida ukiwa ni mwezi wa Adari
wa pili (Veadari)
[Mchoro katika ukurasa wa 1961]
(Ona mpangilio kamili katika nakala iliyochapishwa)
ya 1 NISANI (ABIBU) Machi—APRILI
14 Pasaka
15-21 Keki Zisizo na Chachu
16 Toleo la Matunda ya Kwanza
Shayiri
ya 2 IYARI (ZIVU) Aprili—Mei
14 Pasaka ya Baadaye (Hes 9:10-13)
Ngano
ya 3 SIVANI Mei—Juni
6 Sherehe ya Majuma (Pentekoste)
Tini za Mapema
ya 4 TAMUZI Juni—Julai
Zabibu za Kwanza
ya 5 ABI Julai—Agosti
Matunda ya Kiangazi
ya 6 ELULI Agosti—Septemba
Tende, Zabibu, Tini
ya 7 TISHRI (ETHANIMU) Septemba—Oktoba
1 Mpigo wa Tarumbeta
10 Siku ya Upatanisho
15-21 Sherehe ya Vibanda au ya Kukusanya
22 Kusanyiko Kuu
Kulima
ya 8 HESHVANI (BULI) Oktoba—Novemba
Zeituni
ya 9 KISLEVU Novemba—Desemba
25 Sherehe ya Wakfu
Baridi, Makundi Yafungiwa
ya 10 TEBETHI Desemba—Januari
Mimea Yachipuka
ya 11 SHEBATI Januari—Februari
Milozi Yachanua
ya 12 ADARI Februari—Machi
14, 15 Purimu
Jamii ya Michungwa
ya 13 VEADARI Machi