Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w75 8/1 uku. 360
  • Upendo Unawasukuma Kufanya Hivyo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Upendo Unawasukuma Kufanya Hivyo
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1975
  • Habari Zinazolingana
  • Uhudhuriaji Wetu wa Mikutano Unafunua Nini Kutuhusu?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2019
  • Kwa Nini Tunapaswa Kukutanika Pamoja kwa Ajili ya Ibada?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2016
  • Mlinitendea Mimi
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Mlinitendea Mimi
    Mwimbieni Yehova—Nyimbo Mpya
Pata Habari Zaidi
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1975
w75 8/1 uku. 360

Upendo Unawasukuma Kufanya Hivyo

● Katika Mali, Afrika Magharibi, kunao mashahidi wa Yehova wachache. Wengi wao wanatembea maili sita kwa miguu ili kuhudhuria mikutano. Wakijali sana hali ya kiroho ya watu, Wazungu wawili na Mwafrika mmoja walijitolea kutumikia huko. Kila mmoja anajitoa kufanya saa 200 kila mwezi katika kutangaza kweli za Biblia. Ingawa joto ni jingi sana, wanaona kazi yao ya upendo kuwa yenye maana kustahili wafanye hivyo. Wafanya kazi wa kawaida, madaktari, maafisa na wakuu wengine wanataka sana kujifunza Biblia.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki