Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g90 4/8 uku. 2
  • Ukurasa wa Pili

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ukurasa wa Pili
  • Amkeni!—1990
Amkeni!—1990
g90 4/8 uku. 2

Ukurasa wa Pili

Mamilioni ya watu wenye moyo mweupe huamini katika miujiza, mizuka, na njozi. Wao humiminika kwenye sehemu zionwazo kuwa takatifu kama hii iliyoonyeshwa hapa katika Fátima, Ureno, wakiwa na tumaini la kupata au kuona ponyo la kimuujiza. Baadhi ya wenye kujitoa sana watatembea kwa magoti yao mpaka wafike mahali hapo patakatifu. Wengi huamini kwamba wameponywa. Lakini watu wengi wenye moyo mweupe huuliza, Je! kweli miujiza na mizuka hii hutoka kwa Mungu? Je! kuna elezo jingine lolote?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki