Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g90 9/8 uku. 32
  • Wale Hayawani wa Kifumbo wa Ufunuo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Wale Hayawani wa Kifumbo wa Ufunuo
  • Amkeni!—1990
Amkeni!—1990
g90 9/8 uku. 32

Wale Hayawani wa Kifumbo wa Ufunuo

Je! wewe wajua maana ya hayawani huyu mwenye sura ya kiajabu na namba yake, 666? Ni nini maana ya wale hayawani wengine wa kitabu cha Biblia cha Ufunuo?

Hayawani hawa wa ufananisho hukuathiri wewe na ulimwengu mzima wa ainabinadamu. Jifunze maana yao. Soma kile kitabu chenye kurasa 320 Revelation—Its Grand Climax At Hand! Utasisimuliwa na utambulisho ule wa wazi, wenye maelezo timamu juu ya hayawani hao, na pia drakoni, kahaba mkubwa, na wahusika wengine wa ufananisho wa Ufunuo. Kitabu hiki cha kusisimua chenye jalada gumu, chenye kurasa za ukubwa ulio sawa na gazeti hili, hutokeza ufikirio wa mstari kwa mstari wa kitabu kizima cha Biblia cha Ufunuo. Ili upate habari zaidi, tafadhali andikia I.B.S.A. ukitumia anwani iliyo hapa chini.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki