Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g92 1/8 uku. 32
  • Je! Umepata Kuuliza?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Je! Umepata Kuuliza?
  • Amkeni!—1992
Amkeni!—1992
g92 1/8 uku. 32

Je! Umepata Kuuliza?

◼ Maoni ya Mungu juu ya talaka ni nini?

◼ Je! Biblia inakubali uasherati au ngono ya watu wa jinsia moja?

◼ Kwa nini Mungu ameruhusu taabu?

◼ Je! alikusudia ulimwengu uwe kama ulivyo sasa?

◼ Wakati ujao una nini?

Mmoja wa Mashahidi wa Yehova angefurahi kukutembelea na kukusaidia upate majibu ya Biblia kwa maswali kama hayo. Mashahidi wa Yehova hutoa mafundisho ya Biblia kwa mtu binafsi na kwa kikundi cha watu bila malipo.

Hivyo ukitaka mtu anayestahili akutembelee nyumbani mwako, au sehemu nyingine yoyote inayofaa, tutafurahia kufanya mpango huo. Utasaidiwa kupata si majibu ya maswali yako ya Biblia tu bali pia majibu ya matatizo ya leo ambayo yanaweza kusuluhishwa kwa kutumia kanuni za Biblia. Ili upate utumishi huo, jaza tu habari inayoulizwa na kuipeleka kwenye anwani ya hati iliyoambata.

Ningependa kujua zaidi juu ya Biblia. Tafadhali fanyeni mpango ili mtu anitembelee.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki