Ukurasa wa Pili
Wakati Binadamu na Mnyama Waishipo kwa Amani 3-11
Watu wengi huonea shangwe kuwa na wanyama wa kufugwa wakiwa vipenzi vya ushirika. Lakini namna gani wanyama wa mwitu? Je! hao watapata kuishi kwa amani halisi pamoja na wanadamu, bila kufungiwa katika vizimba?
Hospitali—Wewe Waweza Kukabilianaje? 13
Uwe waenda hospitali ukiwa mgonjwa au mwenye kuzuru, wakabiliwa na wito wa ushindani. Wewe uliye mgonjwa, ni nini haki zako na madaraka yako? Ni uwasiliano gani upasao kuwako kati ya daktari na mgonjwa? Wewe mwenye kuzuru, waweza kumtiaje moyo rafiki yako mgonjwa?
Vipingamizi vya Amani Kati ya Binadamu na Mnyama 3
Je! Binadamu na Mnyama Waweza Kuishi kwa Amani? 5
Simba Waweza Kufugwa! 8
Namna Gani Wakati Ujao? 10
“Wana Nguvu Nyingi Ajabu za Kiadili” 12
Hospitali—Wakati Wewe Ni Mgonjwa 0
Kuzuru Mgonjwa—Jinsi ya Kusaidia 19
Uwasiliano Kati ya Daktari na Mgonjwa—Ufunguo wa Mafanikio 22
Vijana Wauliza . . . Kwa Nini Nijitoe kwa Ajili ya Wengine? 24
Utawala wa Kibinadamu Wapimwa Katika Mizani (Sehemu ya 7)
Utafutaji wa Kisiasa wa Serikali Kamilifu Isiyopatikana 27
Utofautiano Wenye Tokeo la Kinyumenyume 31
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]