Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g91 9/8 uku. 32
  • Ujumbe kwa Ajili ya Leo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ujumbe kwa Ajili ya Leo
  • Amkeni!—1991
Amkeni!—1991
g91 9/8 uku. 32

Ujumbe kwa Ajili ya Leo

Mnara wa Mlinzi una ujumbe wa aina hiyo, kama alivyosema msomaji mmoja aliyeitisha uandikisho hivi karibuni. Yeye aliandika: “Nimekuwa nikisoma gazeti lenu kwa upendezi mkubwa. Nilikuwa na nafasi ya kusoma maandiko katika makala tofauti tofauti wakati wangu wa starehe.

“Mimi hushangazwa daima na ujumbe wa magazeti yenu ambayo huangazia habari za leo. Haiwezi kukaziwa kadiri ya kutosha jinsi vichapo vyenu vilivyo vya muhimu kwa uelewevu mzuri zaidi wa Biblia. Gazeti lenu ndilo lililokuwa sababu ya mimi kuamua kuchukua Biblia yangu yenye vumbi na kutazama ndani ya hicho Kitabu cha vitabu. Kwa kweli ninatazamia kila nakala.”

Je, ungependa kupelekewa Mnara wa Mlinzi kwako nyumbani? Ikiwa ndivyo, tafadhali jaza na kupeleka kuponi andamani.

Mimi ningependa kupelekewa gazeti Mnara wa Mlinzi nyumbani kwangu.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki