Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g91 12/8 uku. 32
  • Si cha Watoto Tu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Si cha Watoto Tu
  • Amkeni!—1991
Amkeni!—1991
g91 12/8 uku. 32

Si cha Watoto Tu

Mwanamke mmoja kutoka Fort Worth, Texas, aandika hivi: “Nimekuwa na kitabu Kumsikiliza Mwalimu Mkuu kwa miaka kadhaa. Niliamua kuanza kumsomea mwanangu wa miezi kumi. Kila siku nilisoma sura mbili au tatu. Mimi ninajua kwamba yeye bado ni mchanga mno kuweza kukielewa. Hata hivyo, mimi mwenyewe nimefaidika sana kutokana nacho. Kitabu hicho kiligusa moyo wangu kwa njia ya kipekee na kikaongezea kina cha upendo na uthamini wangu kwa Yehova Mungu na Mwanaye, Yesu Kristo. Mimi ni mwenye umri wa miaka 27. Mimi nilifikiri kuwa kitabu Mwalimu Mkuu ni cha watoto tu, na sasa najuta kwamba sikukichunguza hapo mbeleni.”

Jaza na upeleke kuponi inayoandama, na habari zaidi juu ya kitabu hiki chenye jalada gumu na vielezi, cha kurasa 192 zitapelekwa kwako kwa njia ya posta.

Mimi ningependa kukipokea kitabu chenye kurasa 192 Kumsikiliza Mwalimu Mkuu.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki