Nakala 15,290,000 za Kila Toleo Katika Lugha 110
Mnara wa Mlinzi ndilo gazeti la kidini lenye mwenezo mkubwa zaidi ulimwenguni. Kwa hakika, ni magazeti machache sana ya aina yoyote yanayopita usambazaji walo. Kwa nini hilo husomwa na wengi hivyo?
Hilo hueleza jinsi ulimwengu mpya mwadilifu utakavyoanzishwa karibuni, likiwaandalia wasomaji walo tumaini hakika la wakati ujao lililo halisi. Je! ungependa kupelekewa Mnara wa Mlinzi nyumbani kwako? Ikiwa ndivyo, tafadhali jaza na upeleke kuponi inayoandamana ili upate habari zaidi.
Ningependa kupata habari za jinsi ya kupelekewa gazeti Mnara wa Mlinzi nyumbani kwangu.