Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g93 1/8 uku. 2
  • Ukurasa wa Pili

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ukurasa wa Pili
  • Amkeni!—1993
  • Vichwa vidogo
  • Ulimwengu Wetu Unaobadilika—Sisi Twaelekezwa Wapi? 3-13
  • Mambo Ambayo Kimbunga Andrew Hakingeweza Kuharibu 14
  • Je! Unywaji Waweza Kunifanya Niwe Mzoevu Kweli? 22
Amkeni!—1993
g93 1/8 uku. 2

Ukurasa wa Pili

Ulimwengu Wetu Unaobadilika—Sisi Twaelekezwa Wapi? 3-13

Badiliko litaendelea kuwako nyakati zote katika maisha zetu za kila siku. Hilo pia ni sehemu ya mandhari ya ulimwengu. Ulimwengu wetu unabadilika katika njia zipi? Wakati ujao ulio karibu unaahidi nini? Je! Biblia ina lolote la kusema kuhusu hilo?

Mambo Ambayo Kimbunga Andrew Hakingeweza Kuharibu 14

Kimbunga Andrew katika Florida, U.S.A., kiliharibu maelfu ya makao na kufanya watu zaidi ya 200,000 wakose makao. Jitihada za kutoa misaada zilifanywa vizuri kadiri gani? Watu walijifunza masomo gani?

Je! Unywaji Waweza Kunifanya Niwe Mzoevu Kweli? 22

Swali hilo huhangaisha kila mtu, hasa vijana. Kileo chaweza kukuathirije wewe na wakati wako ujao? Tahadhari fulani zimedokezwa hapa.

[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]

Alfred/Sipa

Cover, middle: Kevin Frayer/Sipa; right: Falco/Sipa

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki