Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g93 3/22 uku. 32
  • Siku ya Kukumbukwa

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Siku ya Kukumbukwa
  • Amkeni!—1993
Amkeni!—1993
g93 3/22 uku. 32

Siku ya Kukumbukwa

Jioni iliyotangulia kifo chake, Yesu alishiriki na mitume wake mkate usiotiwa chachu na kikombe cha divai na kusema: “Endeleeni kufanya hivi katika kunikumbuka mimi.”—Luka 22:19, NW.

Mwaka huu mwadhimisho wa amri yake ni Jumanne, Aprili 6, baada ya jua kutua.

Kama tokeo, Mashahidi wa Yehova ulimwenguni pote watakusanyika usiku huo wa pekee ili kurudia Ukumbusho huo kwa njia ile aliyoomba Yesu. Unaalikwa kwa uchangamfu sana uungane nao. Tafadhali wasiliana na Mashahidi wa Yehova mahali unapoishi ili upate kujua wakati na mahali barabara pa mkutano huo.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki