Fumbo la Kujaza Maneno
Madokezo Kulia
1. Kazi ambayo kwa msingi hutumia mitego, tanzi, na nyavu (Mithali 6:5)
2. Sesereka (Zaburi 38:17)
4. Madini ya asili iliyo ngumu zaidi (Ezekieli 3:9)
5. Askari Mrumi alidunga upande wa Yesu kwa huu baada ya yeye kumpata amekufa (Yohana 19:34)
7. Nuhu alijenga ya kwanza inayotajwa katika Biblia (Mwanzo 8:20)
11. Petro alisema kwamba Yehova amekuwa mwenye subira kwa ainabinadamu yote ili wote wafikilie (2 Petro 3:9)
12. Aliheshimu wana wake kuliko Yehova (1 Samweli 2:27-29)
13. Neno la mshangao la kuonyesha dhihaka (Isaya 18:1, NW)
14. Watu kutoka hapa walishiriki kumfanya Abimeleki mwovu awe mfalme (Waamuzi 9:6)
18. Mahali ambapo Daudi alipeleka nyara kutoka kwa vita yake na Waamaleki (1 Samweli 30:29)
20. Koma (Matendo 8:38)
21. Musa alikuwa ndani yacho binti ya Farao alipompata (Kutoka 2:5, 6)
Madokezo Chini
1. Nguzo ya kulindia (2 Mambo ya Nyakati 20:24, NW)
3. Kilima ambapo Abneri alimbembeleza Yoabu aache kumfuatilia, hivyo vita ikaisha (2 Samweli 2:24-28)
5. Kukazwa kikiki (Danieli 9:24)
6. Yesu alisema hiki “hakitapita, hata hayo yote yatimie” (Marko 13:30)
8. Ibada ya mungu huyu ilitia ndani mazoea ya kutoa watoto dhabihu (2 Wafalme 17:31)
9. Msaada (Yoeli 1:14, NW)
10. Jiji la kwanza linalotajwa katika Biblia (Mwanzo 4:17)
11. Rusha (Yohana 15:6)
15. Mnofu (Waamuzi 6:19)
16. Mwana wa Yesu [Yoshua], wa ukoo wa Yesu Kristo (Luka 3:28, 29)
17. Njia ya uwasiliano iliyotumiwa sana ni (2 Wafalme 10:1)
19. ‘Kristo alikufa mara kwa wakati wote’ (1 Petro 3:18)
Ufumbuzi wa Fumbo
M T E G A J I K U S I T A
N M
A L M A S I M K U K I A
R U
A K M A D H A B A H U H
W I N U S E
A Z A R T O B A N
M A M I U I O
L Z E P D K
I I E L I H A M I L O
N N E E B Z
Z Y K R A K A L I M
I A I I R O
M U J
S I M A M A K I S A F I N A
Ufumbuzi wa Fumbo
1 2 3
4 5
6 7 8 9 10
11
12 13 14
15 16 17
18 19
20 21