Ukurasa wa 2
MUZIKI WA KISASA Raha Isiyodhuru? 3-11
Muziki wa kisasa, kama ule wa mdundo mzito na rapu, umechambuliwa sana. Je! muziki wote kama huo ni mbaya, au baadhi yao ni raha isiyodhuru?
Naweza Kukabilianaje na Ulemavu Wangu? 13
Vijana walemavu wanataka kujua jinsi wanavyoweza kukabiliana na hali yao.
Michango ya Kutoa Misaada—Wajibu wa Kikristo? 26
Ni yapi maoni yanayosawazika kuhusu kuchangia mashirika ya kidini au mashirika mengineyo?