Fumbo la Kujaza Maneno
Madokezo Kulia
1. Mkazi wa Bethlehemu (1 Samweli 17:12)
5. Yalitabiriwa na Yesu kuwa yatakuwa ya “kutisha” katika siku za mwisho (Luka 21:11)
9. Moja inatofautiana na nyingine kwa fahari (1 Wakorintho 15:41)
10. Mwana wa Yahathi na mzaliwa wa Yuda (1 Mambo ya Nyakati 4:2)
14. Kitu ambacho chastahili kuwa cha mtu fulani (1 Wakorintho 7:3)
15. Sehemu ya mwili ambapo baadhi ya damu ya kondoo iliwekwa wakati wa kuwekwa kwa ukuhani katika Israeli (Mambo ya Walawi 8:23, 24)
18. Kahaba anatajwa kuwa kitu hicho kwa sababu ya kunasa wanaume (Mithali 23:27)
19. Inasemwa kwamba Yerusalemu Jipya halihitaji kitu hiki (Ufunuo 21:23)
25. Sifa hii ilionekana katika kutunza waliokuwa na uhitaji katika kutaniko la mapema la Kikristo (2 Wakorintho 8:2)
Madokezo Chini
1. Jina la familia moja katika Yuda iliyotokeza wawili kati ya wanaume shujaa wa Daudi (2 Samweli 23:38)
2. Mlima ambao laana zilitamkwa kwa ajili ya kutomtii Mungu (Kumbukumbu la Torati 11:29)
3. Kuwa macho (Luka 11:35)
4. Mkuu aliyeteuliwa na Yehova awakilishe kabila la Manase katika Bara Lililoahidiwa (Hesabu 34:23)
6. Aliishi miaka 930 (Mwanzo 5:5)
7. Yehova ataadhibu mtu yeyote anayetaja jina lake kwa njia hiyo (Kutoka 20:7)
8. Kipimo kidogo zaidi cha umaji-maji kinachotajwa katika Biblia (Mambo ya Walawi 14:15)
11. Mwana wa Gadi aliyeandamana na Yakobo kwenda Misri kwa mwaliko wa Yusufu (Mwanzo 46:16)
12. Kitu hicho cha Yesu ni ‘laini na chepesi’ (Mathayo 11:30)
13. Wengine walishangilia na wengine wakalia machozi kwa furaha kwa ajili ya kujengwa kwa sehemu hii ya hekalu la Zerubabeli (Ezra 3:10-13)
16. Mfalme huyu mwovu wa Israeli alijenga jiji la Samaria (1 Wafalme 16:23-26)
17. Mji wa kuwekea akiba ambalo Waisraeli walilazimishwa kujenga katika Misri (Kutoka 1:11)
18. Jiwe lisilopatikana kwa urahisi (Ayubu 28:16)
19. Kuongeza uzuri wa sura (1 Petro 3:5)
20. Mungu alimwacha Farao abaki hai ili amwonyeshe jambo hili (Warumi 9:17)
21. Hali ya dunia kabla ya siku za uumbaji (Mwanzo 1:2)
22. Shetani alimshtaki Mungu kuwa alimzingira Ayubu kwa kitu hiki (Ayubu 1:10)
23. Mwezi wa luna ambao Sulemani alimaliza ujenzi wa hekalu (1 Wafalme 6:38)
24. Oa “katika Bwana——” (1 Wakorintho 7:39)
Ufumbuzi wa Fumbo Ukurasa 21
Ufumbuzi wa Kulia
1. MWEFRATHI
5. MAMBO
9. NYOTA
10. LAHADI
14. HAKI
15. KIDOLE
18. SHIMO
19. JUA
25. UKARIMU
Ufumbuzi wa Chini
1. MWITHRI
2. EBALI
3. ANGALIA
4. HANIELI
6. ADAMU
7. BURE
8. LOGI
11. ARELI
12. NIRA
13. MSINGI
16. OMRI
17. RAMESESI
18. SHOHAMU
19. JIPAMBA
20. NGUVU
21. UTUPU
22. UKIGO
23. BULI
24. TU