Ukurasa wa Pili
Je! Umepata Kuishi Awali? Je! Utaishi Tena? 3-10
Je! mtu huyu ameishi maisha yote haya? Watu wengi husema kwamba hili limetukia kupitia kuzaliwa upya katika mwili mwingine. Je! kuna ukweli wowote kuhusu itikadi hii?
Naweza Kuachaje Kuvutiwa Kimahaba na Mtu Fulani? 17
Vijana fulani Wakristo hujipata wakipumbazwa na mtu fulani ambaye hawashiriki itikadi zilezile. Ikiwa ndivyo ilivyo kwako, unaweza kuvunjaje uhusiano huo?
Je! Wewe Huumwa na Mgongo? 23
Wanaume kwa wanawake, vijana kwa wazee, huumwa na mgongo. Tatizo hilo laweza kupunguzwaje? Je! laweza kuzuiwa?