Ukurasa wa Pili
Je, Wewe Huungua Nishati? 3-10
Mkazo wa kazi unasukuma watu wengi kuungua nishati. Akina mama wanaotunza watoto huungua nishati. Lakini kuungua nishati ni nini? Je, wewe una uelekeo wa kuwa jeruhi? Je, kuna njia ya kuepuka hilo au kukabiliana nalo?
Chuki Yangu Iligeuka Kuwa Upendo 11
Ludwig Wurm, Mwaustria, alikuja kuwa Mnazi mwenye kujibidiisha sana na akajiunga na SS. Ni nini kilichobadili mtazamo wake na maisha yake?
Uanastampu—Hobi Inyweayo Wakati Iliyo Biashara Kubwa 16
Mamilioni ya watu hukusanya stampu za posta, lakini kwa sababu tofauti-tofauti. Kuna uvutio gani?