Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g95 3/8 uku. 32
  • “Imekuwa Vigumu Sana Kukua Bila Yeye”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Imekuwa Vigumu Sana Kukua Bila Yeye”
  • Amkeni!—1995
Amkeni!—1995
g95 3/8 uku. 32

“Imekuwa Vigumu Sana Kukua Bila Yeye”

“NINAANDIKA baada ya kusoma kitolewaji chetu cha karibuni kwenye mkusanyiko, Mtu Fulani Umpendaye Anapokufa, ili kuonyesha shukrani zangu za kina na za kuhisiwa moyoni kwa ajili ya broshua hiyo yenye kugusa hisia na kutia imani nguvu.

“Nina umri wa miaka 18. Baba yangu aliuawa katika aksidenti ya gari nilipokuwa na umri wa miaka minane, na ingawa ni miaka kumi iliyopita, bado ninahisi upweke mwingi. Imekuwa vigumu sana kukua bila yeye. Kuna mambo mengi mno ningependa kumwambia, kushiriki naye, kujua kumhusu. Ni faraja iliyoje kukumbushwa tumaini la ufufuo lenye upendo la Yehova! Hutokeza machozi machoni pangu. Shukrani mara nyingine tena kwa kufanya upya tumaini langu.”—Kijana Shahidi katika Austria.

Dazani za barua kama hii zimepokewa kwenye ofisi za Watchtower Society katika New York. Sasa ikiwa imechapishwa katika lugha 18, broshua hiyo yenye kurasa 32 yawapa mamilioni ya watu faraja. Ikiwa wahuzunika kwa sababu ya mpendwa aliyekufa, uwe huru kutoa ombi la nakala ya kichapo hiki kwa kuandikia I.B.S.A., Box 47788, Nairobi, Kenya, au anwani ifaayo iliyoorodheshwa kwenye wa ukurasa 5.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki