Ukurasa wa Pili
Matabiri Bandia au Unabii wa Kweli—Waweza Kutofautishaje? 3-13
Kwa nini kumekuwako na matabiri mengi mno ya bandia kuhusu mwisho wa ulimwengu? Je, kuna msingi unaofaa wa kuamini unabii wa Biblia kuhusu hili?
Ni Nini Kinachomaanishwa na Kuzeeka? 14
Ni nini kiwezacho kusaidia waliozeeka kuwa wenye furaha na uradhi? Wao hupenda kutendewaje?
Je, Umeona Thilasini? 26
Thilasini wa mwisho ajulikanaye alikufa 1936 katika hifadhi la wanyama. Na bado, ripoti za kuonekana kwa thilasini zaendelea. Je, kungeweza kuwa na waokokaji bado?
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Tom McHugh/Photo Reseachers