Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g95 6/22 uku. 32
  • Je, Wafu kwa Kweli Wanaweza Kusaidia Walio Hai?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Je, Wafu kwa Kweli Wanaweza Kusaidia Walio Hai?
  • Amkeni!—1995
Amkeni!—1995
g95 6/22 uku. 32

Je, Wafu kwa Kweli Wanaweza Kusaidia Walio Hai?

Watu walioendesha magari kupitia Kanisa Katoliki la Mother of Good Counsel katika Louisville, Kentucky, Marekani, katika vuli ya 1994 huenda walifikia mkataa huo. Kwa kuwa hapo wangeweza kusoma ishara inayoonekana hapa. “SALI KWA WAPENDWA WAKO WALIOKUFA. WANAWEZA KUSAIDIA.”

Je, Biblia hufundisha kwamba wafu wanaweza kusaidia walio hai? Je, wafu huonekana tu wamekufa lakini wanaendelea kuishi katika umbo jingine? Je, kwa kweli wao wanaishi mahali fulani, na wana uwezo wa kutusaidia?

Maswali kama hayo yanajibiwa katika ile trakti Kuna Tumaini Gani kwa Wapendwa Waliokufa? Ikiwa ungependa kupata nakala au kuwa na funzo la Biblia nyumbani bila malipo, tafadhali andikia I.B.S.A., Box 47788, Nairobi, Kenya, au tumia anwani ifaayo iliyoorodheshwa kwenye ukurasa 5.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki