Ukurasa wa Pili
Je, Wewe Huthamini Babu na Nyanya? 3-11
Katika nyakati za hivi majuzi kumekuwa na tabia ya kuondoshea mbali babu na nyanya (wazazi-wakuu) kuwa fungu la watu wa nje. Wazazi-wakuu wanatendewaje katika familia yako? Je, waonweje?
‘Asante kwa Kunileta Nyumbani, Mama’ 12
Todd aliokoka anguko la ndege lakini akiwa na majeraha mabaya mno. Pigano lake ili kurudia maisha ya kawaida, kwa msaada wa mama yake, ni hadithi yenye kutokeza.
Waweza Kufanya Nini Kuhusu Pumzi Mbaya? 21
Pumzi mbaya huathiri kila mtu. Pata kujua ni kwa nini, na ujifunze unachoweza kufanya kuihusu.
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Life