Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g95 8/8 uku. 32
  • “Sitatupa Nakala Zozote Zaidi Hadi Nizisome”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Sitatupa Nakala Zozote Zaidi Hadi Nizisome”
  • Amkeni!—1995
Amkeni!—1995
g95 8/8 uku. 32

“Sitatupa Nakala Zozote Zaidi Hadi Nizisome”

Mwanamume fulani aliandikia watangazaji wa Amkeni! akieleza hivi: “Hivi majuzi nilipata nakala ya Amkeni! ya Aprili 8, 1994, katika mlango-wavu wangu. Ala! Ni nini kimetukia? Mmebuni kichapo kilichofanywa kuwa cha karibuni, chenye kuelimisha cha mwongo huu. Naona badiliko hilo likiwa lenye kushangaza sana, na kwa mara ya kwanza, kwa kweli nilisoma makala hizi. (Kwa kawaida ningefikiri, ‘Ah! walikuwa hapa tena,’ na kulitupa gazeti hilo.) Kulikuwa na jambo fulani katika gazeti hilo kwa kila mtu.”

Kwa kumalizia yeye aliandika hivi: “Mnaendelea katika njia ifaayo. Endeleeni na kazi hiyo nzuri, nami naahidi sitatupa nakala zozote zaidi hadi nizisome.”

Ikiwa ungependa upelekewe nakala ya Amkeni! nyumbani kwako au kutamani funzo la Biblia nyumbani bila malipo, tafadhali andikia I.B.S.A., Box 47788, Nairobi, Kenya, au anwani ifaayo iliyoorodheshwa kwenye ukurasa 5.

[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 32]

Juu: Kwa Hisani ya ROE/Anglo-Australian Observatory, picha iliyopigwa na David Malin

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki