Ukurasa wa Pili
Kumtafuta Msanii Mkuu Kuliko Wote 3-12
Watu wengi huthamini sanaa nzuri. Hiyo hulipiwa gharama za juu mno. Namna gani sanaa ya asili? Ni nani apaswaye kupata sifa yayo?
Mahakama Kuu Zaidi ya Kanada Yaimarisha Haki za Wazazi 13
Mahakama Kuu Zaidi ya Kanada imeanzisha miongozo inayolinda haki za wazazi.
Kanisa la Mormon—Je, Ni Urejesho wa Mambo Yote? 19
Joseph Smith alianzisha dini ya Mormon katika karne iliyopita. Je, tukio hili lilikuwa urejesho wa Ukristo wa kweli?