Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g96 2/8 uku. 32
  • Achochewa na Uthamini wa Serosha kwa Amkeni!

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Achochewa na Uthamini wa Serosha kwa Amkeni!
  • Amkeni!—1996
Amkeni!—1996
g96 2/8 uku. 32

Achochewa na Uthamini wa Serosha kwa Amkeni!

Kijana mmoja kutoka jimbo la Washington, Marekani, aliandika hivi: “Katika somo la Kiingereza tulipaswa kuandikia ama gazeti ama gazeti la habari. Basi nilianza kutafuta makala katika magazeti ambazo ningeweza kupeleka majibu.

“Niliamua kutafuta makala mbalimbali katika gazeti Amkeni! lililokuja kwa njia ya posta jana. Nafurahi kwamba nilifanya hivyo. Ile makala ‘Ziara ya Kurudi Urusi,’ katika toleo la Februari 22, 1995, ilikuwa yenye kutia moyo sana. Ilitia moyo sana hasa kusoma juu ya bidii kwa Ufalme wa Mungu aliyokuwa nayo Serosha mwenye umri wa miaka saba. Upendo wake na uthamini wake kwa gazeti la Amkeni! ulinifanya nifikirie makala za Amkeni! ambazo sijazisoma. Sasa natumaini kujitahidi zaidi ili kusoma makala zote nzuri ajabu katika Amkeni! na Mnara wa Mlinzi.”

Ikiwa ungependa kuwa na nakala ya Mnara wa Mlinzi na Amkeni! au ungependa kuwa na funzo la Biblia nyumbani bila malipo, tafadhali andikia I.B.S.A., Box 47788, Nairobi, Kenya, au anwani ifaayo iliyoorodheshwa kwenye ukurasa 5.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki