Ukurasa wa Pili
Maradhi Yenye Kuua—Vita Kati ya Mwanadamu na Vijiumbe-Maradhi 3-11
Maradhi haya yanatoka wapi? Kwa nini vijiumbe-maradhi vyaonekana kushinda? Je, kuna suluhisho?
Ethiopia Yenye Kupendeza 16
Jifunze historia yenye kupendeza ya Ethiopia, watu aina tofauti, mandhari zisizo za kawaida za kijiografia, na wanyama wa pori.
Rafiki Yangu Mpendwa 26
Soma juu ya rafiki mpendwa wa kijana fulani—mwanamke aliye mzee kumpita kwa miongo saba hivi.
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Kirusi juu ya kurasa 2, 3, 4, na 10: CDC, Atlanta, Ga.