Ukurasa wa Pili
Uchafuzi Usababishwao na Magari—Jibu Ni Nini? 3-9
Wengine husema, ondosheni magari ili kupunguza uchafuzi wa hewa. Lakini walio wengi hupendelea suluhisho lisilo la kupita kiasi sana. Je, kuna suluhisho karibu?
Misherehekeo ya Carnival—Je, Yafaa au Haifai? 14
Je, misherehekeo hiyo yafaa kwa Wakristo? Biblia husema nini?
Kukabiliana na Mishiko ya Hofu ya Ghafula 20
Mishiko hiyo yaweza kuwa kisababishi cha hangaiko na mshuko moyo wa kina. Yaweza kudhibitiwaje?
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Victorian Pictorial Borders/Dover Publications, Inc.