Ukurasa wa Pili
Je, Waenda Likizoni?—Kile Upaswacho Kujua 3-10
Ni nani asiyefurahia kwenda likizoni? Jifunze jinsi ya kutambua hatari ziwezazo kutokea kwaweza kukusaidia kufurahia likizo bila majuto.
Kwa Nini Siwezi Kujifunza? 11
Hadi asilimia 10 ya watoto wote huenda wakawa na magumu katika kujifunza. Wanaweza kufanya nini ili kukabili hali?
Maradhi ya Lyme—Je, Umo Hatarini? 14
Ni nini kinachokuweka hatarini? Dalili ni nini? Waweza kujikingaje usiambukizwe?