Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g97 1/8 uku. 20
  • Yale “Makosa Saba ya Ulimwengu”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Yale “Makosa Saba ya Ulimwengu”
  • Amkeni!—1997
  • Habari Zinazolingana
  • Zile Amri Kumi za Mungu Ni Nini?
    Maswali ya Biblia Yajibiwa
  • Mpende Mungu Anayekupenda
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2006
  • “Ni Amri Gani Iliyo ya Kwanza Kati ya Zote?”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2013
  • Amri Kumi Zina Maana Gani Kwako Wewe?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1989
Pata Habari Zaidi
Amkeni!—1997
g97 1/8 uku. 20

Yale “Makosa Saba ya Ulimwengu”

INASEMEKANA kwamba Mohandas Gandhi alitayarisha orodha ya yale aliyoyaita “Makosa Saba ya Ulimwengu.” Hayo ni:

• Mali bila kazi

• Raha bila dhamiri

• Ujuzi bila utu

• Biashara bila maadili

• Sayansi bila ubinadamu

• Ibada bila dhabihu

• Siasa bila kanuni

Inasemekana kwamba mjukuu wake Arun Gandhi aliongeza la nane:

• Haki bila madaraka

Labda unaweza kudokeza mengine machache, lakini orodha hii kwa kweli inafanya tufikirie kwa uzito. Suluhisho la Biblia kwa “makosa” hayo limejumlishwa katika amri mbili: “‘Lazima umpende Yehova Mungu wako kwa moyo wako wote na kwa nafsi yako yote na kwa akili yako yote.’ Hii ndiyo amri kubwa zaidi sana na ya kwanza. Ya pili, kama hiyo, ni hii, ‘Lazima umpende jirani yako kama wewe mwenyewe.’ Juu ya amri mbili hizi Sheria yote yaning’inia, na Manabii.”—Mathayo 22:37-40.

[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 20]

UPI/Corbis-Bettmann

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki