Ukurasa wa Pili
Uhalifu Uliopangwa—Jinsi Unavyokuathiri 3-10
Uhalifu wa kimataifa huathiri kila mtu. Gharama za kila kitu ziko juu—tokea uondoaji wa takataka hadi vito, tokea nguo hadi sementi. Wahalifu huhofisha na kufisidi mahakimu, polisi, na wanasiasa. Je, kuna suluhisho?
Maua Huonyesha Kwamba Mtu Fulani Anajali 16
Ni lini mara ya mwisho ulipomnunulia mpendwa wako maua? Ni jitihada gani ambazo hufanywa ili kukuza maua hayo? Yanatoka wapi?
Je, Watoto Wapaswa Kuchagua Dini Yao Wenyewe 26
Wazazi fulani huhisi kwamba watoto hawapaswi kufundishwa dini lakini wanapaswa kufanya uamuzi wao wenyewe baadaye maishani. Biblia inasemaje?
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Ramani: Mountain High Maps® Copyright © 1995 Digital Wisdom, Inc.
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
The Doré Bible Illustrations/Dover Publications, Inc.