Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g97 3/8 uku. 32
  • Usiku wa Kukumbuka

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Usiku wa Kukumbuka
  • Amkeni!—1997
Amkeni!—1997
g97 3/8 uku. 32

Usiku wa Kukumbuka

JUMAPILI, MACHI 23, 1997

USIKU kabla ya kufa kwake, Yesu Kristo alianzisha pamoja na mitume wake Ukumbusho wa kifo chake. Kwenye mlo sahili ambao katika huo alitumia divai na mkate usiotiwa chachu vikiwa mifano, Yesu aliamuru hivi: “Fulizeni kufanya hili katika ukumbuko wangu.”—Luka 22:19.

Mashahidi wa Yehova wanakukaribisha kwa uchangamfu ushiriki pamoja nao katika kukumbuka Ukumbusho huu wa kila mwaka. Mwaka huu Ukumbusho huo utafanywa baada ya jua kushuka, Jumapili, Machi 23, tarehe inayolingana na Nisani 14 kwenye kalenda-mwezi ya Biblia. Tafadhali pata habari kutoka kwa Mashahidi wa Yehova wa kwenu juu ya mahali barabara pa kukutania na wakati.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki