Ukurasa wa Pili
Dini Vitani—Je, Mungu Hukubali? 3-11
Katika historia yote watu wameua katika jina la Mungu. Je, uuaji huu waweza kutetewa kuwa halali? Maoni ya Mungu ni nini?
Tumaini Thabiti Kati ya Huzuni ya Chernobyl 12
Rais wa Urusi Yeltsin alisema: “Mwanadamu hajapata msiba mkuu kama huu.”
Sasa Ninafurahi Kuwa Hai! 20
Ingawa Ginger wakati mmoja alitamani kufa—hata alijaribu kujiua—sasa anafurahi kuwa hai. Jua ni kwa nini.
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Bibliothèque Nationale, Paris
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Tass/Sipa Press
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Jalada: Alexandra Boulat/Sipa Press