Ukurasa wa Pili
Tulikujaje Kuwapo?—Kwa Aksidenti au kwa Ubuni? 3-17
Darwin hakujua kasoro ambazo biolojia ya molekuli ingefunua katika nadharia yake. Swali ni lilelile, Je, tulikuja kuwapo kwa aksidenti au kwa ubuni?
Kesi na Kufishwa kwa “Mzushi” 18
Baraza la Kuhukumu Wazushi la Katoliki lilisababisha vifo vya maelfu. Kwa nini kanisa liliachilia ujeuri kama huo?
Tasmania—Kisiwa Kidogo, Simulizi la Kipekee 24
Kwa nini Tasmania ilikuja kuwa koloni ya adhabu ya Uingereza? Waingereza waliwatendeaje Wenyeji wa Australia? Maisha yakoje katika Tasmania ya kisasa?
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
The Complete Encyclopedia of Illustration/J. G. Heck