Ukurasa wa Pili
Mwenendo wa Kingono—Kinachomaanishwa na Mitazamo Inayobadilika 3-10
Kufanya ngono nje ya ndoa sikuzote kumegharimu sana kwa habari ya kujistahi, afya, na uhusiano wa mtu pamoja na Mungu. Lakini je, kuhofu UKIMWI kumebadili mitazamo ya watu?
Kwa Nini Udhibiti Hasira Yako? 18
Kama mlipuko wa volkeno, hasira isiyodhibitiwa inaweza kukujeruhi na kuwajeruhi wengine.
Singapore—Kito cha Asia Kilichopoteza Mng’ao 21
Je, umaridadi wa Singapore walingana na rekodi yalo ya haki za kibinadamu?
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Sauli Ajaribu Kumwua Daudi/The Doré Bible Illustrations/Dover Publications, Inc.