Ukurasa wa Pili
Kwa Nini Kuna Chuki Sana?
Kwa Nini Hakuna Upendo Sana? 3-11
Maisha yaweza kufurahisha kama nini tunapokuwa na watu tuwapendao! Lakini yaonekana kwamba upendo ni nadra sana katika ulimwengu wa leo. Kwa nini chuki imeenea sana? Je, hali hiyo itapata kubadilika?
Kilimanjaro—Kilele cha Afrika 14
Ukiwa mlima wenye kilele cha theluji katika Afrika ya tropiki, Kilimanjaro ni mashuhuri kwa uzuri wake mwingi na kimo chake chenye kuvutia.
RSD—Ugonjwa wa Kukoroweza na Wenye Maumivu 20
RSD (Reflex Sympathetic Dystrophy) ni ugonjwa wenye maumivu. Mgonjwa aweza kufanya nini?
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Tina Gerson/Los Angeles Daily News