Ukurasa wa Pili
Je, Tunabadili Halihewa Yetu? 3-10
Wanasayansi Wengi Wanahofu Kwamba Tabia Ya Nchi Ya Dunia Inazidi Kuwa Yenye Joto Na Kwamba Badiliko Hilo Lingesababisha Kipindi Chenye Msiba Katika Karne Ijayo. Je, Hofu Zao Ni Halali? Ikiwa Ndivyo, Je, Wanadamu Ni Wa Kulaumiwa? Je, Twahitaji Kuwa Na Wasiwasi Kuhusu Wakati Ujao Wa Sayari Yetu?
Ni Nani Apaswaye Kuwa Kiolezo Changu cha Kuigwa? 12
Vijana wengi huiga mabingwa wa sinema, wanamuziki, na wanariadha. Je, uchaguzi wako wa violezo vya kuigwa wapaswa kufikiriwa?
Visiwa Vinavyojengwa 24
Visiwa vya Hawaii hutoa maono ya paradiso ya kitropiki, fuo zenye jua, na pepo zenye kuburudisha. Vilipataje kuwako?
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Mountain High Maps® Copyright © 1997 Digital Wisdom, Inc.
JALADA: Richard Kaylin/ Tony Stone Images
Dept. of Interior, National Park Service