Ukurasa wa Pili
Kujitibu—Je, Kwaweza Kukusaidia Au Kukudhuru? 3-9
Kujitibu Ndiyo Karibu Namna Pekee Ya Matibabu Yapatikanayo Katika Sehemu Nyingi Zilizojitenga Za Ulimwengu. Katika Sehemu Nyingine, Kuna Aina Mbalimbali Za Matibabu. Lakini Ni Tahadhari Gani Ipaswayo Kuchukuliwa Katika Kuchagua Matibabu?
Kuna Ubaya Gani wa Kuchezeana Kimapenzi? 20
Kuna tofauti gani kati ya kuwa mwenye urafiki na kuwachezea wengine kimapenzi? Kwa nini kuwachezea wengine kimapenzi ni hatari na ni jambo la uchoyo?
Kuwatazama Ndege—Je, Kwavutia Kila Mtu? 23
Kukiwa na spishi za ndege zaidi ya 9,600 ulimwenguni pote, kuwatazama ndege kwaweza kuwa jambo lenye kusisimua na kuelimisha. Je, kwakufaa?
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
© The Curtis Publishing Company