Ukurasa wa Pili
Ni Nini Kinachosababisha Matatizo ya Kula? 3-12
Kwa watu fulani, kitendo sahili cha kula hudokeza hofu. Ni nini husababisha matatizo ya kula? Ni nini kinachoweza kufanywa kuyahusu?
Simba—“Paka” Wenye Manyoya na Wenye Fahari wa Afrika 16
Katika hadithi nyingi—ambazo kwa sehemu ni hekaya, na kwa sehemu zina ukweli fulani viumbe hawa wenye fahari wamesimuliwa kuwa waovu. Kwa kweli simba ni wanyama wa aina gani?
Sayari Ndogo, Nyotamkia, na Dunia—Je, Ziko Katika Mwendo wa Kugongana? 24
Je, kweli uhai uliopo duniani upo hatarini mwa kuharibiwa kwa kugongana na gimba la kimbingu?
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Courtesy of ROE/Anglo-Australian Observatory, photograph by David Malin