Ukurasa wa Pili
Ubongo Wako—Hufanyaje Kazi? 3-11
“Fumbo kuu.” “Kimojawapo cha vitu vyenye kustaajabisha zaidi ulimwenguni.” Kwa nini ubongo unafafanuliwa hivyo? Ubongo hufanyaje kazi?
Waazteki—Pambano Lao Lenye Kuvutia ili Kuokoka 15
Wamexico wanaozungumza lugha ya Nahuatl ni wazao wa Waazteki waliokoka vita vikali na Wahispania wanyakuzi. Twajua nini kuhusu Waazteki wa kale?
Comenius—Mwanzilishi wa Elimu ya Kisasa 21
John Comenius alikuwa nani? Alikuwaje na uvutano juu ya elimu ya kisasa?
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Kalenda ya Waazteki kwenye ukurasa wa 2, 15-16, na 20: CNCA.-INAH.-MEX Reproducción Autorizada por el Instituto Nacional de Antropología e Historiay