Ukurasa wa Pili
Kuajiriwa kwa Watoto—Mwisho Wake Wakaribia! 3-13
Mamilioni ya watoto hulazimika kufanya kazi chini ya hali mbaya kabisa. Ni ukatili kwa watoto na hutweza adhama ya binadamu. Lakini kuna tumaini kwa watoto!
Kuzuru Ghuba ya Vietnam ya Dragoni Ateremkaye 16
Soma kuhusu safari yenye kuvutia hadi mojawapo ya maeneo yenye kupendeza zaidi katika Vietnam.
Kinga Mpya Dhidi ya Kifua Kikuu 21
Husababisha vifo vingi vya watu ulimwenguni kote kuliko jumla ya vifo vyote vinavyosababishwa na UKIMWI, malaria, na maradhi ya kanda za joto. Lakini, watafiti wana tumaini. Kwa nini?
[Picha katika Jalada]
Jalada: Kubeba matufali huko Amerika Kusini
[Hisani]
JALADA: UN PHOTO 145234/Jean Pierre Laffont
[Picha katika ukurasa wa 2]
Kufuma zulia la majani makavu huko Afrika Magharibi
[Hisani]
UN PHOTO 148040/Jean Pierre Laffont
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Picha: WHO/Thierry Falise