Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g99 6/8 uku. 2
  • Ukurasa wa Pili

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ukurasa wa Pili
  • Amkeni!—1999
  • Vichwa vidogo
  • Tumaini kwa Walemavu 3-10
  • Una Thamani Machoni pa Mungu! 11
  • Kuokolewa Kutoka Kwenye Dhoruba Yenye Kufisha! 14
Amkeni!—1999
g99 6/8 uku. 2

Ukurasa wa Pili

Tumaini kwa Walemavu 3-10

Kila mwaka maelfu ya watu hupatwa na msiba wa kupoteza kiungo. Ni nini baadhi ya mambo yanayoweza kukuhatarisha? Je, inawezekana kwa walemavu kuishi maisha yenye furaha, na yenye kutokeza?

Una Thamani Machoni pa Mungu! 11

Je, wewe hupambana na hisia za kutojistahi wakati wowote? Kujua jinsi Muumba wetu anavyokuona kutakufariji sana.

Kuokolewa Kutoka Kwenye Dhoruba Yenye Kufisha! 14

Soma simulizi lenye kusisimua la jinsi Wakristo walivyosaidia watu waliokumbwa na mojawapo ya dhoruba zenye kuleta maangamizi makubwa zaidi katika karne hii—Kimbunga Mitch.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki