Ukurasa wa Pili
Jinsi ya Kuishi Muda Mrefu Ukiwa na Afya Bora 3-13
Wazo la kuzeeka huwahangaisha sana watu wengi na hata huwahofisha. Lakini kuna mambo unayoweza kufanya yanayoweza kukuwezesha udumishe afya bora uzeekapo.
Kwa Nini Mama Ni Mgonjwa Sana? 21
Kumwona mzazi wako akiugua ni jambo lenye kuogofya na kuumiza. Unaweza kukabilianaje na hali hiyo?
Ni Nini Kilicho Nyuma ya Sayari? 24
Wanasayansi wamegundua sayari nyingi ndogo-ndogo nyuma ya Pluto. Je, ndivyo vitu vilivyo mbali sana katika mfumo wetu wa jua?
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Tony and Daphne Hallas/Astro Photo