Ukurasa wa Pili
Utekaji-nyara Sababu Ni Tisho la Tufeni Pote 3-12
Unapaswa kufanya nini endapo wewe au mpendwa wako atekwa nyara? Ni zipi sababu za msingi za ongezeko katika visa vya utekaji-nyara? Je, kuna utatuzi?
Je, Napaswa Kuchukua Kadi ya Mkopo? 17
Vijana wapaswa kufikiria swali hilo kwa uzito, kutia ndani manufaa na hatari zinazohusika.
Mizingile—Kwa Nini Huvutia Sana? 20
Utavutiwa na ukubwa wake na namna zinavyotatanisha, umuhimu wake kwa watu wa kale, na jinsi makanisa ya Jumuiya ya Wakristo yanavyozitumia.
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Picha: David Johnson