Yaliyomo
Aprili 22, 2000
Ulimwengu Ulioungana—Je, Utaanzia Ulaya?
Katika ulimwengu uliogawanyika, kuunganishwa kwa Ulaya ni habari zinazoenezwa sana. Lakini kuunganishwa kwa Ulaya ni tumaini lililo halisi jinsi gani? Je, kuna tumaini lolote halisi kwa muungano wa ulimwengu?
3 Ulaya Iliyoungana—Kwa Nini Ni Jambo Linalopasa Kufikiriwa?
12 Habari za Televisheni—Ni Kiasi Gani Ambacho kwa Kweli Ni Habari?
16 Upendo wa Kikristo Wakati wa Volkeno
25 Chakula Kilichobadilishwa Maumbile—Je, Ni Salama Kwako?
31 Nyavu za Kichina za Kuvulia Samaki Ziko India
32 “Kitabu Chenye Mwongozo Halisi na Chenye Kutumika”
Kuzaa Watoto—Je, Humfanya Mtu Awe Mwanamume? 13
Vijana wengi leo hufikiri hivyo. Lakini ni nini ambacho humfanya mtu awe mwanamume?
“Vita Si Yenu Bali Ni ya Mungu” 18
Wakili mmoja asimulia daraka alilochangia katika pambano kali la kupigania uhuru wa kidini wa Mashahidi wa Yehova huko Kanada.