Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g 3/09 uku. 32
  • Usiku wa Kukumbukwa

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Usiku wa Kukumbukwa
  • Amkeni!—2009
Amkeni!—2009
g 3/09 uku. 32

Usiku wa Kukumbukwa

Kutana Pamoja Nasi—Alhamisi, Aprili 9, 2009

Usiku uliotangulia kifo chake, Yesu Kristo alianzisha Ukumbusho wa kifo chake, akitumia divai na mkate usiotiwa chachu kama mifano. Yesu aliamuru hivi: “Endeleeni kufanya hivi kwa kunikumbuka mimi.”—Luka 22:19.

Mashahidi wa Yehova wanakualika kwa uchangamfu ujiunge nao kutii maneno hayo ya Yesu kwa kukumbuka tukio hilo la kila mwaka. Ili kufahamu mahali pa kukutania, siku na saa, tafadhali wasiliana na Mashahidi wa Yehova walio karibu nawe.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki