Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g 3/09 kur. 28-31
  • Ungejibuje?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ungejibuje?
  • Amkeni!—2009
  • Vichwa vidogo
  • Habari Zinazolingana
  • Ilitukia Wapi?
  • Katika Toleo Hili
  • Watoto Watafute Picha
  • Unajua Nini Kuhusu Manabii?
  • MAJIBU YA UKURASA WA 31
  • Ungejibuje?
    Amkeni!—2009
  • Ungejibuje?
    Amkeni!—2008
  • Mazungumzo ya Familia
    Amkeni!—2010
  • Ungejibuje?
    Amkeni!—2009
Pata Habari Zaidi
Amkeni!—2009
g 3/09 kur. 28-31

Ungejibuje?

Ilitukia Wapi?

1. Paulo alimkuta Timotheo katika mji gani?

DOKEZO: Soma Matendo 16:1-3.

Zungushia duara jibu lako kwenye ramani.

Listra

Ikoniamu

Derbe

◼ Baba ya Timotheo alikuwa raia wa nchi gani? Namna gani mama yake?

․․․․․

◼ Mama ya Timotheo aliitwa nani?

DOKEZO: Soma 2 Timotheo 1:5.

․․․․․

◼ Mama ya Timotheo alimfundisha nini, na kwa nini?

DOKEZO: Soma 2 Timotheo 3:15.

․․․․․

ZUNGUMZENI PAMOJA:

Unaweza kuwa kama Timotheo jinsi gani?

Katika Toleo Hili

Jibu maswali haya na utaje mistari ya Biblia ambayo haijaonyeshwa.

UKURASA WA 5 Unapaswa kufanya nini na kiasi fulani cha pesa zako? 1 Wakorintho 16:________

UKURASA WA 5 Unapokopa pesa unakuwa nani? Methali 22:________

UKURASA WA 11 Mfalme Yosia alifanya nini ili kuondoa ibada ya uwongo Yuda? 2 Nyakati 34:________

UKURASA WA 19 Kwa nini hupaswi kufanya urafiki na kila mtu? Zaburi 26:________

Watoto Watafute Picha

Je, unaweza kupata picha hizi katika toleo hili? Kwa maneno yako mwenyewe, eleza jambo linalotendeka katika kila picha.

Unajua Nini Kuhusu Manabii?

Soma kitabu cha Yona. Kisha jibu maswali yafuatayo.

2. ․․․․․

Mungu alimtuma Yona aende jiji gani?

3. ․․․․․

Yona alikuwa awape watu wa jiji hilo ujumbe gani? Na waliitikiaje?

ZUNGUMZENI PAMOJA:

Kwa nini Yona alikasirika? Je, alipaswa kukasirika? Kwa nini unajibu hivyo?

◼ Majibu kwenye ukurasa wa 28

MAJIBU YA UKURASA WA 31

1. Huko Listra ya Asia Ndogo.

◼ Baba yake alikuwa Mgiriki. Mama yake alikuwa Myahudi.

◼ Eunike.

◼“Maandishi matakatifu,” yaani Maandiko ya Kiebrania ya Biblia, kwa kuwa alitaka awe mwabudu wa Mungu wa kweli, Yehova.

2. Ninawi.—Yona 1:1, 2.

3. Hukumu ya Mungu dhidi ya jiji hilo. Watu kutia ndani mfalme walitubu.—Yona 1:2; 3:2-9.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki