Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g 2/10 kur. 1-2
  • Yaliyomo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Yaliyomo
  • Amkeni!—2010
  • Habari Zinazolingana
  • Talaka Huwa na Majeruhi
    Amkeni!—1991
  • Talaka Matokeo Yayo Mabaya
    Amkeni!—1992
  • Je, Talaka Ndilo Suluhisho?
    Amkeni!—2004
  • Talaka Biblia Inasema Nini Hasa?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1988
Pata Habari Zaidi
Amkeni!—2010
g 2/10 kur. 1-2

Yaliyomo

Februari 2010

Je, Talaka Ndiyo Suluhisho?

Wenzi wengi ambao hawana furaha katika ndoa yao hukimbilia talaka. Lakini, je, ni jambo la hekima kufanya hivyo? Talaka husababisha matatizo gani ya kifedha na mengineyo? Jambo la muhimu hata zaidi, mtu anaweza kufanya nini ili kuiokoa ndoa yenye matatizo?

3 “Ninataka Talaka!”

4 Mambo Manne Unayopaswa Kujua Kuhusu Talaka

8 Je, Ndoa Yenu Inaweza Kuokolewa?

10 Je, Ni Kazi ya Ubuni?

Ngozi ya Papa

11 Amkeni! Liliokoa Uhai wa Mtoto Aliye Tumboni

12 Maoni ya Biblia

Kuanzisha Urafiki Ukiwa na Lengo la Kufunga Ndoa

14 Jua Lilipobadilika na Kuwa Jekundu

16 Mdiria—Ndege Aliye na Rangi Yenye Kupendeza

21 Popo Mdogo Zaidi Ulimwenguni

26 Vijana Huuliza

Kwa Nini Sisi Hubishana Kila Wakati?

30 Kuutazama Ulimwengu

31 Mazungumzo ya Familia

32 “Ninahitaji Kufarijiwa”

Nilikuwa Ofisa wa SS Sasa Ninamtumikia Mungu wa Kweli 18

Wakati wa Vita vya Pili vya Ulimwengu, lilikuwa jambo lisiloweza kuwaziwa kwa ofisa wa SS kukiuka amri ya moja kwa moja kutoka kwa wasimamizi wake. Hata hivyo, ofisa huyu alifanya hivyo. Soma simulizi hili uone ni kwa nini alifanya hivyo.

Je, Inapatana na Akili Kuamini Kwamba Kuna Mungu? 22

Je, unaamini kwamba kuna Mungu? Acha uthibitisho uliopo ukusaidie kufikia mkataa huo.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki