Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g 10/10 kur. 21-31
  • Mazungumzo ya Familia

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mazungumzo ya Familia
  • Amkeni!—2010
  • Vichwa vidogo
  • Habari Zinazolingana
  • Kuna Kasoro Gani Katika Picha Hii?
  • UNAJUA NINI KUMHUSU MTUME NATHANAELI?
  • WATOTO WATAFUTE PICHA
  • KATIKA TOLEO HILI
  • MAJIBU YA UKURASA WA 31
  • Mazungumzo ya Familia
    Amkeni!—2010
  • Ungejibuje?
    Amkeni!—2008
  • Ungejibuje?
    Amkeni!—2009
  • Mazungumzo ya Familia
    Amkeni!—2010
Pata Habari Zaidi
Amkeni!—2010
g 10/10 kur. 21-31

Mazungumzo ya Familia

Kuna Kasoro Gani Katika Picha Hii?

Soma Mwanzo 4:1-8. Kisha uitazame picha. Kuna kasoro gani? Andika majibu yako kwenye mistari iliyo hapa chini.

1. ․․․․․

2. ․․․․․

3. ․․․․․

ZUNGUMZENI PAMOJA:

Kaini alitenda jinsi gani Yehova Mungu alipopendezwa na dhabihu ya ndugu yake Abeli? Ikiwa wazazi wako wanapendezwa zaidi na ndugu au dada yako, unapaswa kuepuka nini, na kwa nini?

UNAJUA NINI KUMHUSU MTUME NATHANAELI?

4. Huenda Nathanaeli alikuwa na jina gani lingine?

DOKEZO: Soma Luka 6:14; Yohana 1:44-46.

․․․․․

5. Yesu alipenda nini kumhusu Nathanaeli?

DOKEZO: Soma Yohana 1:47.

․․․․․

ZUNGUMZENI PAMOJA:

Unaweza kumwiga Nathanaeli kwa njia gani? Unapofanya hivyo, unafaidika jinsi gani?

DOKEZO: Soma Zaburi 24:3-5; 34:13-16.

WATOTO WATAFUTE PICHA

Je, unaweza kupata picha hizi katika toleo hili? Kwa maneno yako mwenyewe, eleza jambo linalotendeka katika kila picha.

KATIKA TOLEO HILI

Jibu maswali haya, na utaje mistari ya Biblia ambayo haijaonyeshwa.

UKURASA WA 5 Moyo wa mwanadamu una mwelekeo gani? Mwanzo 8:________

UKURASA WA 6 Tungependa kujiendesha kwa njia gani? Waebrania 13:________

UKURASA WA 24 Tunapaswa kujiwekea nini mbele yetu? 1 Wakorintho 9:________

UKURASA WA 26 Ukingoja hadi upepo na hali ya hewa iwe shwari ni nini kitatokea? Mhubiri 11:________

● Majibu kwenye ukurasa wa 21

MAJIBU YA UKURASA WA 31

1. Ni wana wawili tu waliotoa dhabihu.

2. Kaini alitoa matunda ya shambani.

3. Abeli alitoa kondoo, na si ng’ombe.

4. Bartholomayo.

5. Hakuwa mdanganyifu.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki