Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g 12/10 uku. 30
  • Fahirisi ya Amkeni! kwa Mwaka wa 2010

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Fahirisi ya Amkeni! kwa Mwaka wa 2010
  • Amkeni!—2010
  • Vichwa vidogo
  • AFYA NA TIBA
  • DINI
  • MAHUSIANO YA WANADAMU
  • MAMBO MENGINE
  • MAONI YA BIBLIA
  • MASHAHIDI WA YEHOVA
  • MASIMULIZI YA MAISHA
  • NCHI NA WATU
  • SAYANSI
  • UCHUMI NA KAZI
  • VIJANA HUULIZA
  • WANYAMA NA MIMEA
Amkeni!—2010
g 12/10 uku. 30

Fahirisi ya Amkeni! kwa Mwaka wa 2010

AFYA NA TIBA

Homa, 6/10

Jinsi ya Kuacha Kuvuta Sigara, 5/10

Kukabiliana na Mfadhaiko, 6/10

Kutoa Msaada wa Dharura, 3/10

Mchochota wa Ini Aina ya B, 8/10

Ridhika na Rangi ya Ngozi Yako, 5/10

Ugonjwa Hatari wa Milimani, 7/10

Ugonjwa Ulioogopwa Zaidi (kipindupindu), 10/10

Ugonjwa wa Mifupa, 6/10

DINI

Ibada ya Nyoka, 3/10

Imani Kwamba Hakuna Mungu, 11/10

Inapatana na Akili Kuamini Kuna Mungu? 2/10

Kitabu Kinachotegemeka (Biblia), 11/10, 12/10

Ukweli Kuhusu Krismasi, 12/10

MAHUSIANO YA WANADAMU

“Huenda Wimbo Tu Ukatosha,” 9/10

Kula Pamoja, 1/10

Kutumia Hekima Tunapozungumza, 11/10

Ni Nani Unayeweza Kumwamini? 10/10

Talaka, 2/10

Upweke, 9/10

MAMBO MENGINE

Gesi ya Asili—Nishati Inayotumiwa Nyumbani, 11/10

Kigugumizi, 5/10

Matetemeko Makubwa Zaidi Yanatazamiwa, 12/10

Mfupa—Una Ugumu Usio na Kifani, 1/10

“Mayday! Mayday! Mayday!” 10/10

Unahitaji Wakati Zaidi? 4/10

MAONI YA BIBLIA

Bado Sehemu Zote za Biblia Zina Manufaa? 3/10

Kuanzisha Urafiki na Lengo la Kufunga Ndoa, 2/10

Kugeuza Shavu Lile Lingine, 9/10

Kutumia Pesa kwa Hekima, 5/10

Kwa Nini Mungu Hajamwangamiza Ibilisi? 12/10

Mungu Ni Mtu Halisi? 10/10

Ni Nini Kinachotufanya Tuwe Wema au Waovu? 4/10

Ni Sawa Kusali kwa “Watakatifu”? 11/10

Roho Waovu Ni Nani? 8/10

Siku ya Hukumu, 1/10

Ulipie Huduma za Kidini? 6/10

Wanawake Wanapaswa Kuwa Wahudumu? 7/10

MASHAHIDI WA YEHOVA

“Acheni Kuhangaika” (India), 1/10

Amkeni! Liliokoa Uhai wa Mtoto Aliye Tumboni, 2/10

Hazina kwa Wanafunzi wa Biblia (Broshua ‘Nchi Nzuri’), 10/10

‘Hazina Yenye Mafundisho Yanayofaa’ (Kitabu Mwalimu), 7/10

Jina la Mungu Linajulishwa! 7/10

‘Kushinda Mwelekeo wa Kuwa na Ubinafsi’ (Gibraltar), 1/10

Mahakama Yampa Mama Haki ya Kuwalea Watoto (Hispania), 7/10

Makusanyiko ya “Kaa Karibu na Yehova!” 5/10, 6/10

“Mtazamo Mzuri” (mama aliye na mtoto mlemavu), 11/10

“Ninahitaji Kufarijiwa” (Broshua Mtu Fulani Umpendaye Anapokufa), 2/10

Tetemeko la Haiti, 12/10

Unataka Kuwa Rafiki ya Mungu? (Mexico), 1/10

‘Viziwi Wanafaidika kwa Kujifunza Biblia,’ 7/10

Walimu Wanatambua (Bulgaria), 9/10

Wao Ni Nani? 8/10

MASIMULIZI YA MAISHA

Kilichonifanya Nivutiwe (T. Orosco), 3/10

Mungu Amenifariji (V. Colloy), 12/10

Niliacha Kazi Yenye Pesa Nyingi (M. Márquez), 6/10

Nilichagua Kazi Bora Zaidi (P. Kostadinov), 4/10

Niliingia Shindano Bora Zaidi Maishani (K. Bergman), 9/10

Nilikuwa Ofisa wa SS Sasa Ninamtumikia Mungu (G. Bernhardt), 2/10

“Nililelewa na Wazazi Walioamini Hakuna Mungu” (F. Vyskočil), 11/10

Nina Furaha Licha ya Ulemavu (J. Várguez), 5/10

Ninasubiri Wakati Nitakapowaambia, “Sote Tupo Hapa!” (A. Austin), 8/10

Wakili Awachunguza Mashahidi wa Yehova (L. Civin), 8/10

NCHI NA WATU

Chakula Moto Kutoka Nyumbani Hadi Ofisini (India), 11/10

Jina la Mungu (Kanisa huko Kanada), 7/10

Jua Lilipobadilika Kuwa Jekundu (Iceland), 2/10

Kokwa Tamu za Australia, 11/10

Kuabiri Bahari ya Atlantiki Hadi ya Pasifiki, 10/10

Makabila ya Milimani ya Thailand, 5/10

Malkia Elizabeth wa Kwanza (Uingereza), 1/10

“Mfalme wa Saa” (Uingereza), 10/10

Mont Blanc, 4/10

Mtumbwi (Kanada), 5/10

“Mtu wa Msituni” wa Indonesia, 7/10

Soko la Kiafrika, 1/10

Tetemeko la Haiti, 12/10

Unamna-namna Katika Msitu wa Amazoni, 4/10

“Utepe wa Chuma” (Kanada), 6/10

Vijia vya Chini ya Ardhi vya Odessa (Ukrainia), 3/10

Visiwa vya Faeroe, 3/10

Wabatak (Indonesia), 8/10

Yurts—Nyumba Zinazoweza Kuhamishwa za Asia ya Kati, 9/10

SAYANSI

Imethibitisha Hakuna Mungu? 11/10

Jinsi Moyo Unavyopiga, 5/10

Molekuli ya Hemoglobini, 9/10

Ni Kazi ya Ubuni? 1/10, 2/10, 4/10, 6/10, 7/10, 8/10, 9/10, 10/10, 11/10, 12/10

“Tatizo la Longitudo,” 5/10

Vitu vya Asili Vilitangulia vya Wanadamu, 3/10

UCHUMI NA KAZI

Kusafirisha Chakula Moto Kutoka Nyumbani Hadi Ofisini, 11/10

Umepoteza Kazi? Kupunguza Gharama, 7/10

Unafanya Kazi Kupita Kiasi? 1/10

VIJANA HUULIZA

Kuna Ubaya Wowote Kutaka Kuwa na Faragha? 3/10

Kwa Nini Nitunze Afya Yangu? 6/10

Kwa Nini Sisi Hubishana Kila Wakati? 2/10

Kwa Nini Wavulana Hawanipendi? 1/10

Maoni ya Biblia Kuhusu Ngono Kati ya Watu wa Jinsia Moja? 12/10

Ngono Itaboresha Uhusiano Wetu? 4/10

Niache Shule? 11/10

Nifanye Nini Ili Nielewane na Ndugu na Dada Zangu? 8/10

Nifanye Nini Ili Nijiamini Zaidi? 5/10

Niko Tayari Kuondoka Nyumbani? 7/10

Ninaweza Kufanya Nini Ili Niache Kuhuzunika? 9/10

Ninaweza Kufikia Miradi Yangu Jinsi Gani? 10/10

WANYAMA NA MIMEA

Bawa la Kereng’ende, 8/10

Chakula cha Wadudu Kinachopatikana kwa Urahisi, 3/10

Chaza, 9/10

Farasi wa Shetland, 8/10

Jicho la Nondo, 7/10

Jicho la Uduvi Anayeitwa Peacock Mantis, 11/10

Kimulimuli, 6/10

Kukuza Okidi, 1/10

Kwarara, 6/10

Makadamia, 11/10

‘Mashini Bora Zaidi Angani’ (albatrosi), 7/10

Mbegu Ndogo Yatokeza Mwaloni Mkubwa, 9/10

Mdiria (ndege), 2/10

Mdomo wa Mdiria, 4/10

“Mfalme wa Mwituni” (jaguar), 9/10

“Mtu wa Msituni” (orangutangu), 7/10

Ngozi ya Papa, 2/10

Panyabuku wa Milima ya Alps, 10/10

Popo Mdogo Zaidi, 2/10

Sokwe, 4/10

Ulimi wa Ndege Mvumaji, 10/10

Ustadi wa Kuogelea wa Samoni, 12/10

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki