Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g20 Na. 1 uku. 3
  • Je, Una Mkazo?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Je, Una Mkazo?
  • Amkeni!—2020
  • Habari Zinazolingana
  • Mkazo Mzuri, Mkazo Mbaya
    Amkeni!—1998
  • Jinsi ya Kudhibiti Mfadhaiko
    Amkeni!—2010
  • Ninaweza Kukabiliana Jinsi Gani na Mikazo Shuleni?
    Maswali Ambayo Vijana Huuliza—Majibu Yafanyayo Kazi, Buku la 1
  • Visababishi na Madhara ya Mfadhaiko
    Amkeni!—2005
Pata Habari Zaidi
Amkeni!—2020
g20 Na. 1 uku. 3
Mwanamke mwenye mkazo kazini ameinamisha kichwa na anaonekana ana huzuni sana.

UNAWEZA KUKABILIANA NA MKAZO—JINSI GANI?

Je, Una Mkazo?

“Kila mtu ana mkazo kwa kadiri fulani, ila mimi nahisi ninalemewa sana na mkazo. Mkazo nilionao hausababishwi na jambo moja kubwa bali na mambo mengi ninayokabili; mahangaiko ya kila siku na kumtunza kwa miaka mingi mume wangu ambaye inaonekana hatapona matatizo yake ya kimwili na kiakili.”—Jill.a

“Mke wangu aliniacha, na nililazimika kuwalea watoto wawili peke yangu. Haikuwa rahisi kulea watoto nikiwa mwenyewe. Zaidi ya hilo nilifutwa kazi na sikuwa na pesa za kutosha kurekebisha gari langu. Sikujua nifanye nini. Mkazo ulinilemea sana. Moyoni nilijua kwamba ni vibaya kujiua, kwa hiyo nilimwambia Mungu kwamba bora nife.”—Barry.

Kama Jill na Barry, je, wakati mwingine wewe huhisi umelemewa na mkazo? Ikiwa ndivyo, tunatumaini kwamba makala zinazofuata zitakufariji na kukusaidia. Makala hizo zinaeleza baadhi ya mambo yanayosababisha mkazo, jinsi mkazo unavyotuathiri, na jinsi tunavyoweza kupunguza mkazo kwa kadiri fulani.

a Baadhi majina yamebadilishwa.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki