Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g20 Na. 1 uku. 16
  • “Moyo Mtulivu Huupa Mwili Uzima”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Moyo Mtulivu Huupa Mwili Uzima”
  • Amkeni!—2020
  • Vichwa vidogo
  • Habari Zinazolingana
  • KWA WENZI WA NDOA
  • KWA WAZAZI
  • KWA VIJANA
  • Je, Ungependa Kujifunza Mengi Zaidi?
    Amkeni!—2021
  • Matatizo ya Afya ya Akili ya Vijana Yameongezeka Sana—Biblia Inasema Nini?
    Habari Zaidi
  • Jinsi ya Kuwasaidia Vijana Waepuke Hatari Kwenye Intaneti
    Amkeni!—2014
  • Kwa Nini Hakuna Heshima Katika Familia?
    Amkeni!—2024
Pata Habari Zaidi
Amkeni!—2020
g20 Na. 1 uku. 16

“Moyo Mtulivu Huupa Mwili Uzima”

Mume na mke wakisoma pamoja kwenye kifaa cha kielektroniki.

Maneno hayo yanayopatikana kwenye Methali 14:30, yaliandikwa karibu miaka elfu tatu iliyopita! Maneno hayo yanaonyesha hekima inayopatikana kwenye Biblia ambayo haiwezi kupitwa na wakati. Ikiwa ungependa kujifunza mambo mengi zaidi, tembelea tovuti ya jw.org/sw. Kwenye tovuti hiyo utapata video, vibonzo katika ubao, mahojiano, na makala zinazohusu habari mbalimbali zenye manufaa, kutia ndani jinsi ya kukabiliana na mkazo. Baadhi ya habari zinazopatikana ni:

KWA WENZI WA NDOA

  • Kutatua Matatizo Katika Ndoa

  • Jinsi ya Kuishi kwa Amani na Watu wa Ukoo

  • Jinsi ya Kushinda Kinyongo

KWA WAZAZI

  • Jinsi ya Kuwasiliana na Kijana Wako

  • Binti Yako Anapokuwa na Mkazo

  • Jinsi ya Kuwasaidia Vijana Waepuke Hatari Kwenye Intaneti

KWA VIJANA

  • Mshinde Mnyanyasaji Bila Kutumia Ngumi

  • Nifanye Nini ili Nipate Usingizi wa Kutosha?

  • Kwa Nini Nifanye Amani na Ndugu na Dada Zangu?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki