Yaliyomo
SEHEMU 1—UUMBAJI MPAKA GHARIKA
3 Mwanamume na Mwanamke wa Kwanza
10 Gharika Kuu
SEHEMU 2—GHARIKA MPAKA KUKOMBOLEWA KATIKA MISRI
12 Watu Wanajenga Mnara Mkubwa
14 Mungu Anajaribu Imani ya Ibrahimu
15 Mke wa Lutu Alitazama Nyuma
21 Yusufu Anachukiwa na Ndugu Zake
22 Yusufu Anawekwa Katika Gereza
24 Yusufu Anajaribu Ndugu Zake
26 Ayubu Ni Mwaminifu kwa Mungu
27 Mfalme Mbaya Anatawala Misri
28 Namna Mtoto Musa Alivyookolewa
31 Musa na Haruni Wanamwona Farao
32 Mapigo 10
33 Kuvuka Bahari Nyekundu (ya Shamu)
SEHEMU 3—KUKOMBOLEWA MISRI MPAKA MFALME WA KWANZA WA ISRAELI
39 Fimbo ya Haruni Inamea Maua
52 Gideoni na Wanaume Wake 300
54 Mwanamume Mwenye Nguvu Kuliko Wote
55 Mvulana Mdogo Anamtumikia Mungu
SEHEMU 4—MFALME WA KWANZA WA ISRAELI MPAKA UTUMWA WA BABELI
56 Sauli—Mfalme wa Kwanza wa Israeli
59 Sababu Yampasa Daudi Akimbie
62 Matata katika Nyumba ya Daudi
63 Sulemani Mfalme Mwenye Akili
68 Wavulana Wawili Wanaokuwa Hai Tena
69 Msichana Anamsaidia Mwanamume Mwenye Nguvu
71 Mungu Anatoa Ahadi ya Paradiso
72 Mungu Anamsaidia Mfalme Hezekia
73 Mfalme Mzuri wa Mwisho wa Israeli
SEHEMU 5—UTUMWA BABELI MPAKA KUJENGWA UPYA KUTA ZA YERUSALEMU
79 Danieli katika Shimo la Simba
80 Watu wa Mungu Wanatoka Babeli
81 Kuutumainia Msaada wa Mungu
SEHEMU 6—KUZALIWA YESU MPAKA KUFA KWAKE
84 Malaika Anamtembelea Mariamu
85 Yesu Anazaliwa katika Boma la Ng’ombe
86 Wanaume Walioongozwa na Nyota
90 Pamoja na Mwanamke penye Kisima
91 Yesu Anafundisha juu ya Mlima
93 Yesu Analisha Watu Wengi Chakula
101 Yesu Anauawa
SEHEMU 7—KUFUFULIWA KWA YESU MPAKA KUFUNGWA KWA PAULO
102 Yesu Yuko Hai
103 Ndani ya Chumba Kilichofungwa
106 Wanafunguliwa Katika Gereza
108 Wakienda Damasko
109 Petro Anamtembelea Kornelio
110 Timotheo—Msaidizi Mpya wa Paulo
111 Mvulana Aliyelala Usingizi
112 Meli Inaharibika Katika Kisiwa
SEHEMU 8—UNABII WA BIBLIA UNATIMIZWA
Maswali ya Funzo katika Kitabu Changu cha Hadithi za Biblia
Maswali kwa ajili ya hadithi zote 116 zilizoorodheshwa juu yanapatikana kwenye kurasa zinazofuata Hadithi ya 116.